Panga la JPM lachinja vichwa 152

Yani kila cku wanafukuza mwishoe wataanza kujifukuzisha wenyewe. Wanaona kiongoz bora ni Yule anayefukuza wafanyakazi . Wamesahau kiongoz anatakiwa kuwa na busara .hekima,akili, na maarifa.

Si ni nyie Nyumbu mliokuwa mnasema nchi yetu inahitaji kufanyiwa reshuffle?

Mbona mna gubu hivyo?
 
Si ni nyie Nyumbu mliokuwa mnasema nchi yetu inahitaji kufanyiwa reshuffle?

Mbona mna gubu hivyo?
Viwavi. Utawajua tu kwa hiyo kufukuza watu kazi ndo uchumi wa nnchi utaimarika au ndo tutakuwa na maisha bora au mishaara itaongezwa?
 
Yani kila cku wanafukuza mwishoe wataanza kujifukuzisha wenyewe. Wanaona kiongoz bora ni Yule anayefukuza wafanyakazi . Wamesahau kiongoz anatakiwa kuwa na busara .hekima,akili, na maarifa.
Watanzania bwana sijui hamjitambui au hamuelewi au mmesahau mnatafuta nini.
Enzi za jk wala rushwa waovu walikuwa wakihamishwa mnalalamika sasa hivi amekuja anayefukuza mnalalamika anafukuza mno sasa afanyaje. Na je kufukuza kunaleta impact kwa Taifa? Tumwache mh Rais afanye kazi.
 
Mafisad wa escrow mbona wako bado bungeni.
 
Sisi wana UKAWA tutaanza kuyaamini mabadiliko chini ya magufuli endapo tu ataanza kushughulikia waizi wa ESCROW MEREMETA EPA bila kumsahau fisadi wetu mkuu LOWASA na lirichmond lake
 
Ngoja waliofukuzwa fukuzwa waende mahakamani kudai haki zao! Mnakumbuka kesi ya wale senior officers wa polisi walio "staafishwa kwa manufaa ya umma"? Fukuza mtumishi kwa kufuata taratibu za kiutumishi na si vinginevyo!
 
Si ni nyie Nyumbu mliokuwa mnasema nchi yetu inahitaji kufanyiwa reshuffle?

Mbona mna gubu hivyo?
Mkuu Nyumbu hana maamuzi yake binafsi anasubiri uelekeo wa NYUMBU MKUU na yeye afuate.

leo fukuza fukuza ikitulia utasakia ilikuwa ni nguvu ya soda...mara ccm ni wale wale na vijimaneno vya namna hiyo.
 
Ngoja waliofukuzwa fukuzwa waende mahakamani kudai haki zao! Mnakumbuka kesi ya wale senior officers wa polisi walio "staafishwa kwa manufaa ya umma"? Fukuza mtumishi kwa kufuata taratibu za kiutumishi na si vinginevyo!

jaji mkuu anateuliwa na nani?

unafikiri kuna mtu yupo juu ya magufuli nchi hii..

hizi mahakama zilizoshindwa kumuhoji hata chenge unaziamini kweli?

hizi zilizosema ditopile hakuua kwa kukusudia..

hakuna mahakama au hakimu wa kuishinda kesi ya serikali ya magufuli ikiamua isishindwe kesi
 
Yani kila cku wanafukuza mwishoe wataanza kujifukuzisha wenyewe. Wanaona kiongoz bora ni Yule anayefukuza wafanyakazi . Wamesahau kiongoz anatakiwa kuwa na busara .hekima,akili, na maarifa.
wewe mjinga kamanda. afanyeje kama kila kiongozi anapiga dili tu. kwa hiyo unashauri waachwe waendelee kupiga hela hivyo hivyo
 
mahakama zilizoshindwa hata kumpeleka Lowasa mahakamani. tehetehetehe
 
haiw
Sisi wana UKAWA tutaanza kuyaamini mabadiliko chini ya magufuli endapo tu ataanza kushughulikia waizi wa ESCROW MEREMETA EPA bila kumsahau fisadi wetu mkuu LOWASA na lirichmond lake
haiwezekani wewe ukawa mwana ukawa. huwezi mtaja mzee wa Richmond hivihivi. nani kakwambia umtaje? ? yeye mbona Mbowe alishamsafisha
e
 
Kama mtu kweli hafai awekwe kando.

Ila tu hii fukuza fukuza isiwe na visasi ndani yake bali weledi ndio uzingatiwe
 
tehetehe... watanzania wengi hatujielewi tunataka nini. kila kitu tunalalamika. haya mtumbuaji majipu kaanza kazi , katumbua ndugu zetu bila kutegemea! tunamlaumu.! sasa nawashauri bora mkae kimyaaaaa. si mlikuwa mnataka mwenye maamuzi magumu.huyu ndio anafaa. walikuwa wanalalamika jk analea mafisadi. huyu anawatumbua wanaanza kulalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…