panda twende mjini

Kua uyaone siyo maghorofa bali ni mambo kam haya na ndio faida ya kuishi kwingi. Ila hizi gari nazionaga Lushoto zinaelekea Bumbuli kwa Makamba.
 
DUh hii ni hatari kwelikweli hapo dereva akifanya kosa kidogo ni unakuwa ule msemo wetu wa kwenye mazishi kwamba,kazi ya mungu haina makosa!
 
usiogope bcoz problems ar not put on our way to stop us bt to bring out our courage and strength. so mi siogopi
 
Peugeot 504 family ivi hizi gari bado zipo??
 
Natoka kwetu mahenge, jiulize ule mzigo wa mwisho waliupandishaje? Mia
 
dereva kala kishoka hana wasiwasi.
nyie mlioko bush ninayo saloon yake mwenye kutaka kujikomboa anipm.
 
baba mia unatisha kinyama mzee..! hii umeipata wapi..? ni bongo hii..? manake hata namba ya gari siioni..? vipi ni bongo hii mkuu..?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…