lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,467
- 25,776
Na diwani wa CCM..pia mbunge wa CCMRafiki zake na Lowasa kina rostam ni wezi sana
Eh magufuli anza na hawa waficha hela plz
Ukitumbua hawa tu basi umeshamaliza UFISADI
Na diwani wa CCM..pia mbunge wa CCMRafiki zake na Lowasa kina rostam ni wezi sana
Eh magufuli anza na hawa waficha hela plz
Ukitumbua hawa tu basi umeshamaliza UFISADI
Na diwani wa CCM..pia mbunge wa CCM
Hujaiona RICHMOND HAPO?Mbona sijaona jina la EL? si kila siku mnasema ana fedha nyingi? toeni naye siri zake tuone ameficha kiasi gani huko nje, Badala yake tunaona wanachama wengine tu wa kile chama chenu ambao kwa sasa hamtaki hata kuwataja. Political correctness will kill you CCM guys....
Karibu wote ni wahindi. Kwenye sukari ni wahindi. Tuwafanyaje hawa magobachori? Nawaona Manji na Abood,Diwani na Mbunge wa CCM.
Mzee Tupatupa
Papizo na wewe urudi kwenye papaMimi sio mbaguzi ila naomba serikali yetu itoe tamki iwafukuze hawa wahindi wote na watoke kwenye yale majumba kariakoo watuachie nchi yetu waende makwao....kwanza ni ngumu kufanya hivyo??
Nashukuru mimi na Mbowe hatupo, CCM wange piga kelele sanaKaribu wote ni wahindi. Kwenye sukari ni wahindi. Tuwafanyaje hawa magobachori? Nawaona Manji na Abood,Diwani na Mbunge wa CCM.
Mzee Tupatupa
Seedof pia mchezaji wa zamani wa Inter Milan na timu ya taifa ya Netherland pia kaweka huko sasa hivi ana ng'ang'aniwa ha Uhollanzi, waziri mkuu wa Iceland pia kajiuzuru sababu ya kuweka pesa huko, ila Putin ndio kakomaa anasema ni propaganda za watu wa Western kutaka kumchafuani kosa kisheria,lionel messi mchezaj wa barcelona nae anatuhumiwa huko nchini kwao kwa kosa hli la kuweka hela panama(lbda nikupe mfano huu ndo utaamini,maana wazungu tuu ndo huwa wapo sawa)
Acha Ujinga wewe Wangekua Civil Servant sawa sasa Watu kama akina Abood akina Rostam Aziz wana Hustle taangu Zamani wana Pesa Kuweka Nje Pesa zake iwe Tatizo? Serikali yenyewe ina Account zake nje Huko siyo Kuficha ila wameweka maana zimetoka katika true source katika biashara zao na kwa bahati nzuri hakuna watumishi wa Umma tuwe tunafikiria wabongo.
Utatuchelewesha bhanaa ! mtafute Snowden atakuelezea vizuriNaomba kuuliza Panama paper ni nini......tafadhali musinicheke
hakushitakiwa kwao, au unataka kuniambia yeye ni raia wa spain?ni kosa kisheria,lionel messi mchezaj wa barcelona nae anatuhumiwa huko nchini kwao kwa kosa hli la kuweka hela panama(lbda nikupe mfano huu ndo utaamini,maana wazungu tuu ndo huwa wapo sawa)
...kama ulikuwa hujui...matajiri wote makubwa wa nchi hii makazi yao yako Upanga...na wengi wao ni either wahindi ama waarabu...bisshara ya nchi hii imeshikwa na watu hawa...Address za Upanga zimejaa