Majina sidhani kama kuna waliokua hai, wale waliokuwepo kabla ya kupata Uhuru.Zitto aliwataja Mwembeyanga matajiri walioficha pesa Switzerland mkamletea kejeli kuwa anawaletea majina ya wahindi.
Watanzania kwa unafiki tupo vizuri Zitto alijaribu kuwafahamisha jinsi gani pesa inavyotakatishwa ili kukwepa kodi waliishia kumkejeli na kumsema vibaya.
Leo hii wanajifanya hii habari mpya kwao hawa ndiyo Watanzania.