Panama cricket team (girls)

Imekaa poa hii...ila tennis yao kali zaidii.:bange:

Nimeipenda hiyo avarta yako mku Cheze, Lol! enzi hizo hutoki mtu hadi ulie! Hahahha! Kuhusu hiyo team jamani, wamejaliwa hadi unayafeel!
 
Inanikumbusha ile dawa ya kuuwa wadudu inaitwa GUMBORO
 
yoyoyoyoyo! hii ni hatari! ivi kweli unaweza vaa hivi public? vyoo vya huo uwanja vinapata shida sana!
 
Duh kazi kwelikweli mi hapa ntapiga watu na gongo maana ntakuwa narusha gongo huku naangalia pembeni teh teh teh
 
sweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…