Mambo kama ndio hayo lazima nilazimishe kucheza kriketi,lakini sasa naweza kurusha gongo upande mwingine kwani hizo nonino ni orijino kabsa hakuna mchina ati du maashallah dunia hii ina wenyewe
jamani ni suruwali za m*t*ko hizo wakina baba msipagaweeeeee jamani loool....kuna wengine wasema mapigo yawaenda mbio wengine waulizia mechi itachezwa lini lool kumbe ndio zenu eee mwazugwa kiivyo heheheh