Pampula Live!

Kinachonishangaza ni hiyo chupa hapo mkononi. Na kuanguka kote huko hajaachia boto???
 
Duh!Yupo strong aisee,yaani kalewa kiasi hicho lakini hajajikojolea?
 
aliye haramisha pombe hakukosea
 
Pombe ni nomaaaa!!! suruali ukiangalia vizuri haikosi mzigo, angalia kwa makini!!
 
huyu kwere, yaani kinywaji hakija mwagika hata tone
 
"mbona wengi wanasema pombe ni adui wa binadamu lakini vitabu vya dini vinatuasa kuwapenda maadui zetu!!"
tatizo mbona mnachagua maadui wa kuwapenda kama vipi tuwapende majambazi maradhi kama ukimwi na vyote ambavyo tunahisi ni adui zetu kwa ujumla wake.sasa sisi utakuta tunampenda adui pombe,uzinzi ndio sanaaaaaa.
 
Kinachonishangaza ni hiyo chupa hapo mkononi. Na kuanguka kote huko hajaachia boto???

ni kawaida ya wanywaji anakuambia niangushe mimi usimwage pombe yangu cheki huyu dogo keshauzima lakina pombe iko stable

tatizo mbona mnachagua maadui wa kuwapenda kama vipi tuwapende majambazi maradhi kama ukimwi na vyote ambavyo tunahisi ni adui zetu kwa ujumla wake.sasa sisi utakuta tunampenda adui pombe,uzinzi ndio sanaaaaaa.

huuuwi unamaana tuipende na ccm pia maana ndio adui nambari one hee nambari wani ni ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…