WALIKUWA WANASHAURIANA KUHUSU CONDOM GANI YA KUTUMIA NA HASA YENYE FLAVOUR IPIYaani mimi ndo ningekuwa wema. ningeshafika hatua ya utajiri WA BAHRESA
.list yooote ya mwanaume alotembea nao.
Inamaana walikuwa hawamshauri chochote. Yaani wema ni kilaza mwenye elimu zake
Mtoa mada ametaka ashauriwe sio kutukanwa.Heshimu utu wa mtu mkuuHana akili
Nonsense.Sikutaka kuyasema ila tu nakuibieni siri katika wanawake wanao honga Wema anatisha ukibahatika kukutana naye kimapenzi uka mkalisha vizuri basi wewe umeramba dume
Ana elimu gani? Ana hata bachelor?Yaani mimi ndo ningekuwa wema. ningeshafika hatua ya utajiri WA BAHRESA
.list yooote ya mwanaume alotembea nao.
Inamaana walikuwa hawamshauri chochote. Yaani wema ni kilaza mwenye elimu zake
Hao ndo mademu wanaiishi kwa mizinga
anaendekeza mapenzi badala ya kazi, na pia sio mbunifu kama unavomnadi bali anapenda misifa na ndio tatizoPamoja na umaarufu alionao wema , ni wapi alipokwama hadi anashindwa kuwa na maendeleo?., Amekosa washauri au tatizo ni nini
Baadhi ya watu wanadai kuwa wema ameshindwa kutumia umaarufu wake kujitajirisha, wengine wanadai kuwa Wema amekuwa akitumika kwa maslahi ya watu wengine bila kujitambua, wakitolea mfano Wcb jinsi wanavyo mtumiaga kwa ajili ya maslahi yao na kumtema
Wema amebahatika kuwa na watu milioni 3.4 wanaomfollow instagram lakini ameshindwa kutumia hiyo nafasi kujitangaza kibiashara kama wanavyofanya wenzie akina Wolper, Esma, Aunt Ezekiel
Wema hadi now hana hata kibanda cha mbao alichojenga, tofauti na umaarufu anaojipa, maisha yake yamekuwa ni ya maigizo kila kukicha
Anakwama wapi , ili tumshauri?
Kuna watu hua mnawashwa aisee..comment zote umeiona ya yna12 tu ndio ametukana eti?Mtoa mada ametaka ashauriwe sio kutukanwa.Heshimu utu wa mtu mkuu
Unaonekana una somekind of mental disturbance mkuu,mbona na mimi umenitukana?!!Kuna watu hua mnawashwa aisee..comment zote umeiona ya yna12 tu ndio ametukana eti?