Uchaguzi 2020 Pamoja na Mapungufu ya Magufuli akisimama mwaka 2020 na wafuatao ntamchagua tena

Mkuu Britannica, heading yako haijakaa sawa, na contents pia haijakaa sawa.

Heading yako hii

"Pamoja na Mapungufu ya Magufuli akisimama mwaka 2020 na wafuatao ntamchagua tena", hillo neno "akisimama" hapo ulipoliweka, lina canotation meaning ya possibility ya
kama akisimama as if anaweza asisimame, wakati ukweli ni kuwa kwa mujibu wa taratibu za CCM, rais Magufuli ndie mgombea pekee wa CCM kwa 2020, hivyo hiyo akisimama haikupaswa kuwa hapo ulipoiweka.

Najua nia yako ni kumtumia rais Magufuli as comparator kumlinganisha na hao uliowataja, yaani akisimama na wafuatao, heading yako ingepaswa iwe
"Pamoja na Mapungufu ya Magufuli, mwaka 2020 akisisimama na wafuatao, ntamchagua tena".

Sasa nije kwenye contents
Kwavile jina la Magufuli limetanguliwa na pre qualifications "mapungufu" neno hilo ni pre qualifier, ulipaswa kwenye content uyaseme hayo mapungufu.

Mwisho ni my take.
Kwa my honest opinion, hujamtendea haki Zitto kwenye u serious.
Kwangu uchaguzi wa 2020, Zitto ndie the one and only mgombea mwenye impact kama akisimama na Magufuli.

Ni kwa vile the political playing field ya the game of politics kwenye siasa zetu is not level, kwenye uchaguzi wetu wa rais ni kama kugombea kisu cha makali kuwili, huku mgombea mmoja ameshika kwenye mpini, mwingine kwenye makali kuwili.
Mgombea mmoja anazunguka na full state backing ya a sitting president na ving'ora, media, state campaign budget, msafara wa state cars, huku mwingine with nothing, halafu watu hawa washindane, unategemea nini?.

Wenzetu nchi za Scandinavian na Nordic, wagombea urais wao lazima wafanane, hata kama alikuwa a sitting president anayegombea kwa mara ya pili, ile presidential status yake inakuwa scraped yote isipokuwa ulinzi, hakuna msafara, hakuna kumtumia state funds na wagombea wingine wote wa urais wanapatiwa state security na vyama kupewa ceiling ya campaign spending ili kutengeneza level playing field, wagombea wote wafanane, watu washindanishe sera na kujieleza.

Just imagine Zitto asimame na Magufuli, halafu Zitto naye apewe vitu vyote kama Magufuli, washindanishe sera na kujieleza, kiukweli kabisa, Magufuli atakuwa na kazi, kitakacho mfanya Magufuli ambwage Zitto ni his good track record ya deliveries, Flyovers, ndege, SGR, Stigler, Elimu bure, Afya, maji, maendeleo ya kuonekanika, Tanzania ya viwanda, etc, wakati Zitto atakuwa hana national deliveries zozote to compare, ndio maana nimeshauri humu kwa 2020, Tanzania hatuna haja ya kufanya uchaguzi wa rais, Magufuli atosha.

P
Naona baada ya kuona hakuna usawa,ukaamua kuegemea upande ili upate utelezi.
 
Back
Top Bottom