Pamoja na kuwa wanawake hawapendi wanaume wao kuwachanganya na wanawake wengine, Salma wangu alikua tofauti

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,906
Pamoja na kua wanawake kwenye mahusiano hawapendi kuchanganywa na wanawake wengine wakati ukiwa nae, Salma wangu alikua tofauti.

Huyu Salma alikua rafiki yake na demu wangu, baada ya kuzinguana na mpenzi wangu ambae ni rafiki yake salma, nimamuomba salma achukue nafasi ya rafiki yake, Salma bila hiyana akanikubalia. Lakini wakati huo huo nikarudiana na rafiki yake Salma, wala salma hakua na kinyongo.

Tukawa kwenye mahusiano kwa miaka 2 bila rafiki yake salma kugundua chochote maana ni marafiki wakubwa. Tulipoachana na Salma kutokana na sababu mbali mbali, bado Salma hakua na kinyongo akanipa rafiki yake mmoja video qeen mzuri kinoma nijisevie.

Bado salam hakua na kinyongo na mimi kumtafuna rafiki yake mwingine tena kwa msaada wake, hata niliposhindwana na huyo rafiki yake bado Salma alinitaftia mrembo mwingine ili nisikose huduma.

Yote hayo yalikua yakifanyika bila hao marafiki zake salma kujua kua rafiki yao nimewahi kua nae kweye mahusiano kwa miaka 2.

Sijawahi kuona mwanamke mwenye moyo mzuri kama Salma, najua ameolewa, namuombea kila la heri huko aliko. Kwa roho nzuri aliyonayo salma juu yangu hata nikitaka leo kupasha kiporo bado hatanikatalia.

Wanawake jifunzeni toka kwa mwanamke mwenzenu Salma, acheni roho mbaya.
 
Acha bangi izidi kupigwa marufuku tu apa nchini.Nazani mkuu hii utakuwa umevutia uwanjani ukijua Upo pekeako,Aseee pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuts mwanamke anawashikaji zaidi ya wawili..lkn ye hataki washikaj wawe na mademu

Kaaaaaazi sana

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
 
Back
Top Bottom