PostGE2025 Pamoja na kamata kamata ya viongozi wa CHADEMA na mizengwe kibao ya kesi zisizo na mashiko bado kina ushawishi mkubwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,170
Reaction score
8,622
Hili ndilo jambo kubwa la msingi CCM na makada wake wanapaswa kujiuliza.

Wao wapo madarakani lakini wanazidi kuchukiwa.

Chadema haipo madarakani lakini inazidi kupata ushawishi na inakubalika.

Mizengwe kibao , kamatakamata, kesi zisizo na mashiko. Lakini bado watu wana imani na CHADEMA.

Hili sio la kupuuzia kwa CCM maana hii ni taa ya Kijani kwa CHADEMA hii. Acha ile ya Mbowe na baba mkwe wake.
 
All chadema needs to do is to chills and whatch the wayy ccm screw themselves again and again
 
Chadema iliuliwa na magufuli kitambo mno, asaiv mhaini tundu lissu ndo anamalizia kuuzika mzoga wa Chadema!
 
Kinachofanywa na Chadema nikutokujitoa kwenye uelekeo wa raia , mfano huu msimamo wao wa kutokuingiza chama kwenye Uchaguzi ikiwa hakutakuwa na mabadiliko ,aisee hii wameichapa CCM tatu bila na naamini siku nyingine hawatarudia .
 
Hili ndilo jambo kubwa la msingi CCM na makada wake wanapaswa kujiuliza.

Wao wapo madarakani lakini wanazidi kuchukiwa.

Chadema haipo madarakani lakini inazidi kupata ushawishi na inakubalika.

Mizengwe kibao , kamatakamata, kesi zisizo na mashiko. Lakini bado watu wana imani na CHADEMA.

Hili sio la kupuuzia kwa CCM maana hii ni taa ya Kijani kwa CHADEMA hii. Acha ile ya Mbowe na baba mkwe wake.
Screenshot_20251122-090658~2.png
 
Chadema iliuliwa na magufuli kitambo mno, asaiv mhaini tundu lissu ndo anamalizia kuuzika mzoga wa Chadema!
Jee wanaotumia vyombo vya dola kuwakamata viongozi wa chadema na kuwafungulia kesi huku wengine wakiwateka tuwaiteje? Ccm ni majanga kama mnaona chadema mmeizika jaribuni kuweka uwanja sawa tu mwangalie mziki wake. Mmejitangaza kwa kura zaidi ya 31M lakni bado mnaweweseka na chadema.
 
Back
Top Bottom