Pamoja na harakati za UKAWA kutaka kumchafua Rais, hatimaye Magufuli aibuka shujaa

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,375
Wadau, amani iwe kwenu.

UKAWA wamechanganyikiwa, wamehemewa, wamevurugwa, wameaibika, wanaona aibu.

Kwa wiki mbili sasa, kulikuwa na kampeni za wabunge wa UKAWA kwa kushirikiana na mawakala wao ndani na nje ya siasa kutaka kumchafua Rais kwa kutumia mbinu mbalimbali. Mkakati huu uliandaliwa kwa lengo la kuifanya Serikali na CCM wasijikite kwenye Bunge la Bajeti linaloendelea na badala yake wahangaike kujibu hoja kadhaa za wapinzani zilizoibuliwa kwa kuwatumia wabunge wao na mawakala wao. Baadhi ya hoja hizo ni pamoja na;

1. RAIS HAONGOZI KWA MFANO KUTOKANA NA KUKWEPA KODI.
Hoja hii ilisambazwa kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii kwa kasi kubwa kwa lengo la kumhusisha Rais na ukwepaji kodi. Kampeni hii ilisimamiwa na Zitto Kabwe na wabunge kadhaa wa UKAWA. Utulivu wa Rais hakika uliwashtua sana wabaya wake mpaka wasijue nini Rais anawaza. Mwisho wa siku, wapinzani wake wameumbuka pale Rais aliposema kuwa yeye ni mbunge wa Tanzania yote na anataka kuongoza kwa mfano kwa kukubali kukatwa kodi alizosamehewa. UKAWA, Zitto Kabwe na mawakala wao wameshikwa na kwikwi.

2. RAIS MAGUFULI NI DIKTETA
Hoja hii ilisambazwa kwa kasi sana ili ionekane kuwa nchi hii inaongozwa kidikteta. zitto Kabwe alienda mbali zaidi kwa kuhusisha Ziara ya Rais nchini Rwanda kuwa alienda kujifunza jinsi ya kukandamiza wapinzani. Huu ni wendawazimu wa hali ya juu na kukosa busara. Amesahau kuwa ni hawa hawa WAPINZAJI walikuwa wanaihimiza Serikali kuweka mashirikiano mazuri na Rwanda hasa baada ya Kikwete kupishana kauli na Kagame. Leo Magufuli anafukia mashimo, wanaibuka na hoja za kijinga na kipumbavu.

Wengine pia wakimhusisha na harakati za jeshi la polisi kuzuia mikutano ya kisiasa. Kwamba, Rais hataki kukosolewa na ndo maana anawaziba midomo wapinzani. Sina hakika kama hoja hizi walizitoa wakiwa na akili timamu ama walikuwa wamelewa. Wamesahau kuwa nchi yetu ipo kwenye matishio kadhaa ya uvunjifu wa amani hasa baada ya watu saba kuuawa kwa kuchinjwa huko Tanga na Mwanza kiasi ambacho jeshi letu limeenda kuweka kambi kwenye mapango ya Amboni.

3. RAIA ANAINGILIA MHIMILI WA BUNGE.
Kwanza upinzani wao ulianza baada ya Rais kufuta sherehe za wabunge na badala yake kuelekeza fedha hizo kununua vitanda Muhimbili. Pili ugomvi wao ulikolea baada ya Katibu wa Bunge kurejesha fedha Serikalini ambazo zilibaki kwa mwaka wa fedha unaomalizika. Mbowe na genge lake walitaka fedha hizo zisirudishwe serikalini na badala yake wazitumie wao kwa kulipana posho.

Baadaye wakahamishia ugomvi wao kwa Naibu Spika, Dr Tulia Akson eti kwa vile ni mteule wa Rais, basi anatumiwa kuwakandamiza wapinzani. Hoja za kitoto sana hizi wakasahau kuwa Mbatia alikuwa Mbunge wa Kikwete lakini alikusa sehemu ya UKAWA. Ninatambua kuwa uwezo wa Dr Tulia unazidi uwezo wa wabunge wote wa Upinzani pamoja na mawakala wao. Ndio maana wakienda kwa mujibu wa kanuni, wanatoka patupu na hivyo kuamua kuja na style ya kuziba midomo.

4. KIKWETE ANAKATAA KUMKANIDHI UONGOZI WA CCM, RAIS MAGUFULI
Hoja hii iliibuliwa na watu walio nje ya Bunge ambao ni mawakala wa Lowasa. Mchungaji Gwajima hakika aligeuka kuwa kituko ambapo akajivika mapenzi ya kinafiki kwa Rais eti akijidai anampenda sana. Eti anamshauri ahame chama na kuanzisha chama kipya kinyume na katiba yetu. Target ya Gwajima na Lowasa ni kwamba ikiwa Magufuli atafanya kosa hilo na hatimaye akafukuzwa uanachama, wataenda 2020 huku CCM imegawanyika na haina mtu mahiri wa kuwayumbisha kama Magufuli. Hahahahahaaaa. Wakaumbuka. Mkutano wa CCM huooooo Julai 23.

Wadau, hakika kuna mambo mengi yameendelea wakati huu na nadiriki kusema kuwa kipindi hiki Rais alijaribiwa kwa kiwango kikubwa. Hata hivvyo, Mungu yupo pamoja naye. Namahukuru sana Rais Magufuli kwa utulivu aliouonesha. Mungu amesimama badala yake na amehakikisha maadui zake wote wanateketezwa bila hata ya yeye kutamka neno lolote. Wameumbuka.

Kwa sasa wapinzani pamoja na mawakala wao wamepoteana. Magufuli ageuka shujaa na heshima ya CCM imepanda. Nimshauri Rais wangu kuwa Tanzania hatuna wapinzani bali tuna maadui ambao ni mawakala wa mafisadi. Kikwete aliwasikiliza sana na kuwakumbatia mwisho aliishia kutukanwa na kupewa kila aina ya majina mabaya. Leo hii hao hao wanaojiita wapinzani eti wanajifanya washauri wa Rais. Haiwezekani. CCM haijafilisika kiasi cha kutaka ushauri wa wabaya wetu. Tunayo ilani ambayo tunapaswa kuitekeleza na ahadi za Rais ambazo alituahizi wakati wa kampeni. Tuwafungie milango wapinzani na tufungue milango kwa wananchi.
 
haya...
 
Sawa tuache wananchi tuamue
 
CCM wamepanic baada ya chama chao kuwapa raiya mateso na vituko kila kukicha.

shuja aliyepandisha sukari kutoka kilo sh.1800/= hadi 3500/= ??
Wananchi wanajua nini Rais anafanya juu yao na ndo maana wametulia tuliii wakati huu wa upungufu wa sukari. Hawajaandamaa wala kupiga kelele. Wamebaki akina Daudi Mchambuzi wakisambaza propaganda hizo JF wakadhani kuwa wananchi watawasikia
 
Leo watu wanaingiza siku mapemaa ,
#TanzaniaYaViwandaInakuja
#TutaanzaNaViwandaVyaSimuNaHelicopter
 
Nilidhani upinzani watajifunza madhara ya tabia mbaya ya kususa kutoka kwenye uchaguzi wa Zanzibar...inaonekana darasa la Zanzibar halikueleweka
 
Wadau, amani iwe kwenu.

UKAWA wamechanganyikiwa, wamehemewa, wamevurugwa, wameaibika, wanaona aibu.

Kwa wiki mbili sasa, kulikuwa na kampeni za wabunge wa UKAWA kwa kushirikiana na mawakala wao ndani na nje ya siasa kutaka kumchafua Rais kwa kutumia mbinu mbalimbali. Mkakati huu uliandaliwa kwa lengo la kuifanya Serikali na CCM wasijikite kwenye Bunge la Bajeti linaloendelea na badala yake wahangaike kujibu hoja kadhaa za wapinzani zilizoibuliwa kwa kuwatumia wabunge wao na mawakala wao. Baadhi ya hoja hizo ni pamoja na;

1. RAIS HAONGOZI KWA MFANO KUTOKANA NA KUKWEPA KODI.
Hoja hii ilisambazwa kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii kwa kasi kubwa kwa lengo la kumhusisha Rais na ukwepaji kodi. Kampeni hii ilisimamiwa na Zitto Kabwe na wabunge kadhaa wa UKAWA. Utulivu wa Rais hakika uliwashtua sana wabaya wake mpaka wasijue nini Rais anawaza. Mwisho wa siku, wapinzani wake wameumbuka pale Rais aliposema kuwa yeye ni mbunge wa Tanzania yote na anataka kuongoza kwa mfano kwa kukubali kukatwa kodi alizosamehewa. UKAWA, Zitto Kabwe na mawakala wao wameshikwa na kwikwi.

2. RAIS MAGUFULI NI DIKTETA
Hoja hii ilisambazwa kwa kasi sana ili ionekane kuwa nchi hii inaongozwa kidikteta. zitto Kabwe alienda mbali zaidi kwa kuhusisha Ziara ya Rais nchini Rwanda kuwa alienda kujifunza jinsi ya kukandamiza wapinzani. Huu ni wendawazimu wa hali ya juu na kukosa busara. Amesahau kuwa ni hawa hawa WAPINZAJI walikuwa wanaihimiza Serikali kuweka mashirikiano mazuri na Rwanda hasa baada ya Kikwete kupishana kauli na Kagame. Leo Magufuli anafukia mashimo, wanaibuka na hoja za kijinga na kipumbavu.

Wengine pia wakimhusisha na harakati za jeshi la polisi kuzuia mikutano ya kisiasa. Kwamba, Rais hataki kukosolewa na ndo maana anawaziba midomo wapinzani. Sina hakika kama hoja hizi walizitoa wakiwa na akili timamu ama walikuwa wamelewa. Wamesahau kuwa nchi yetu ipo kwenye matishio kadhaa ya uvunjifu wa amani hasa baada ya watu saba kuuawa kwa kuchinjwa huko Tanga na Mwanza kiasi ambacho jeshi letu limeenda kuweka kambi kwenye mapango ya Amboni.

3. RAIA ANAINGILIA MHIMILI WA BUNGE.
Kwanza upinzani wao ulianza baada ya Rais kufuta sherehe za wabunge na badala yake kuelekeza fedha hizo kununua vitanda Muhimbili. Pili ugomvi wao ulikolea baada ya Katibu wa Bunge kurejesha fedha Serikalini ambazo zilibaki kwa mwaka wa fedha unaomalizika. Mbowe na genge lake walitaka fedha hizo zisirudishwe serikalini na badala yake wazitumie wao kwa kulipana posho.

Baadaye wakahamishia ugomvi wao kwa Naibu Spika, Dr Tulia Akson eti kwa vile ni mteule wa Rais, basi anatumiwa kuwakandamiza wapinzani. Hoja za kitoto sana hizi wakasahau kuwa Mbatia alikuwa Mbunge wa Kikwete lakini alikusa sehemu ya UKAWA. Ninatambua kuwa uwezo wa Dr Tulia unazidi uwezo wa wabunge wote wa Upinzani pamoja na mawakala wao. Ndio maana wakienda kwa mujibu wa kanuni, wanatoka patupu na hivyo kuamua kuja na style ya kuziba midomo.

4. KIKWETE ANAKATAA KUMKANIDHI UONGOZI WA CCM, RAIS MAGUFULI
Hoja hii iliibuliwa na watu walio nje ya Bunge ambao ni mawakala wa Lowasa. Mchungaji Gwajima hakika aligeuka kuwa kituko ambapo akajivika mapenzi ya kinafiki kwa Rais eti akijidai anampenda sana. Eti anamshauri ahame chama na kuanzisha chama kipya kinyume na katiba yetu. Target ya Gwajima na Lowasa ni kwamba ikiwa Magufuli atafanya kosa hilo na hatimaye akafukuzwa uanachama, wataenda 2020 huku CCM imegawanyika na haina mtu mahiri wa kuwayumbisha kama Magufuli. Hahahahahaaaa. Wakaumbuka. Mkutano wa CCM huooooo Julai 23.

Wadau, hakika kuna mambo mengi yameendelea wakati huu na nadiriki kusema kuwa kipindi hiki Rais alijaribiwa kwa kiwango kikubwa. Hata hivvyo, Mungu yupo pamoja naye. Namahukuru sana Rais Magufuli kwa utulivu aliouonesha. Mungu amesimama badala yake na amehakikisha maadui zake wote wanateketezwa bila hata ya yeye kutamka neno lolote. Wameumbuka.

Kwa sasa wapinzani pamoja na mawakala wao wamepoteana. Magufuli ageuka shujaa na heshima ya CCM imepanda. Nimshauri Rais wangu kuwa Tanzania hatuna wapinzani bali tuna maadui ambao ni mawakala wa mafisadi. Kikwete aliwasikiliza sana na kuwakumbatia mwisho aliishia kutukanwa na kupewa kila aina ya majina mabaya. Leo hii hao hao wanaojiita wapinzani eti wanajifanya washauri wa Rais. Haiwezekani. CCM haijafilisika kiasi cha kutaka ushauri wa wabaya wetu. Tunayo ilani ambayo tunapaswa kuitekeleza na ahadi za Rais ambazo alituahizi wakati wa kampeni. Tuwafungie milango wapinzani na tufungue milango kwa wananchi.

Wanafki hawajaanza jana,hata kwa Yesu walikula mikate.... mleta mada umechemka bila juhudi za wapinzani hayo yasingefanyika....
 
Kwa mtu mwenye akili akisoma uzi wako hu utajua pasipo shaka kwamba hapa sifa zinawastahili UKAWA; kwamba miaka yote viongozi (hasa rais) walikua hawalipi KODI, baada ya kuwasikia wapinzani wakipaaza sauti zao hatimae rais ameona afanyie kazi mawazo na maneno yao. Hongera sana kwa kuliona hilo. Kumbe ukawa ndio wanao toa vision ya nchi hi. Big up lizabon
 
Back
Top Bottom