Ndugu naomba mnifahamishe lile pambano la ndondi la uzito wa juu baina ya joshua ni lini? Kwa anaweza kujua ratiba ya pambano hilo, tarehe pamoja na muda kwa hapa bongo tafadhali atuweke hapa. Na pia wale watabiri watuambie nani atakayeweza kuibuka mshindi?