Pambano la ndondi kati ya Joshua na huyo anayepigana naye ni lini?

MKONGA

JF-Expert Member
Feb 19, 2015
667
453
Ndugu naomba mnifahamishe lile pambano la ndondi la uzito wa juu baina ya joshua ni lini? Kwa anaweza kujua ratiba ya pambano hilo, tarehe pamoja na muda kwa hapa bongo tafadhali atuweke hapa. Na pia wale watabiri watuambie nani atakayeweza kuibuka mshindi?
 
Ni leo kuanzia saa2 usiku kwa mapambano ya utangulizi, AJ atapanda ulingoni kuanzia saa 4 usiku
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom