Wanajamvi vipi huu ushindi wa Maywether leo mbona mimi naona kama ilitakiwa iwe sare lakini waamuzi wameamua kuwa Maywether kashinda. Naomba wanaofahamu masumbwi wanidadavulie maana inachanganya.
Utata uko wapi wakati judges wote unanimously wamempa Floyd?
It's not about how many punches you throw, but how many punches landed.
Angalieni in slow motion round zote majibu mtapata unless mna makengeza
Pac ni mtoto
Go Floyd
Wanajamvi vipi huu ushindi wa Maywether leo mbona mimi naona kama ilitakiwa iwe sare lakini waamuzi wameamua kuwa Maywether kashinda. Naomba wanaofahamu masumbwi wanidadavulie maana inachanganya.
Mimi kiukweli kura yangu nilimpa Pac, ila mchezo unasheria zake, na lengo la bondia ni kushinda mchezo either kwa Tko au kwa point
Sas Floyd kaamua kushinda kwa kutumia point kacheza na sheria tu.
Hata mpiran ushindi hapewei aliemiliki mpira sana au kupiga chenga nyingi bali alie funga.
Yuko live on ESPN right now. Keshaanza visingizio eti aliumia bega kabla ya fight!
Anakiri kuwa amepigwa kihalali.
Mfilipino kazi yake ni kuchoma viazi Na sio boxing
Mtakula maneno yenu leo. Mayweather ndio dume
ameshinda kihalali hayo ni ya wapemba kufungwa twafungwa lakini chenga twawala pac alirusha makonde mengi lakini guard ya floyd ilikuwa juu sana angalia slow motion zote za kila ngumi zilizo land kwa kila mpinzani utaona ubora wa majaji wa leo so pac amepigwa kiharari