Pambano la Cheka Na Mserbia

Cheka siku zote anaonea mabondia wa TZ..
kwenye skills sio mzuri,yeye msuli zaidi...
 
Na hii inatuambia hatuna mabondia wenye skills bali miguvu tu.. Hili liwe somo.. Tukipeleka timu Olympics tunapigwa then tunasingizia maandalizi
 
na mabondia wetu msosi tu shida
mtu akiwapiga mabondia njaa njaa anajiona bingwa kweli
 
Mabondia wenyewe ndio hawa professionalism sifuri leo nimeangalia hapa akina Maugo wakitukanana pale ulingoni mpaka nikashangaa..
 
Huyu mserbia anavizia kweli kweli,akija kumpata kisawasawa kamaliza mchezo
Round ya kwanza alishamaliza pambano ashukuru kengere.. Pale zingebaki sekunde 10 tu angekuwa muhimbili sasa
 
Mabondia wenyewe ndio hawa professionalism sifuri leo nimeangalia hapa akina Maugo wakitukanana pale ulingoni mpaka nikashangaa..
Bongo magumashi..Mi nilivyosikia tu Cheka kakutwa na uzito zaidi ya uliopangwa nikaona watu hawako serious
 
Alafu akaanza kusingizia mizani hahahaha cha kushangaza mwenzake alikutwa na uzito huo huo
 
sasa hili ndo pambano kuu
ukichunguza ya utangulizi hutaamini
mabondia hawalingani uzito
Watu wanachoangalia ni kupiga pesa tu..Mapambano mengi mabondia uwa wanapanda ulingoni bila hata kuwa na mazoezi ya kutosha..
 
hata msosi tu shida
gym hawamudu gharama zake
unakuta bondia anakimbiakimbia beach tu
 
Back
Top Bottom