Pambano la cheka na kaseba

haya masihara na pesa za watu mh! Alafu watanzania wakishabikia michezo ya nje mnawaona si wazalendo hapa ni Busara Wizara iseme neno
 
Wewe, acha porojo za kipuuzi, Shigongo hawezi kufanya vitu vya maana kwa sababu zifuatazo:
  1. Ni kada wa CCM chama dhaifu
  2. Ni mmliki wa udaku na kwahiyo amekaa kidaku tu

Mdogo wangu, hem niambie kwenye ujumbe wangu porojo za kipuuzi ziko wapi? coz sijakusoma bado
 
Tujifunze ku-appreciate jitihada za watu wachache wenye uchungu na nchi yao. Unajua maana ya utapeli? Mbona husemi lolote kuhusu ufujaji wa fedha za umma unaoendelea kila mahali? Kiwira watu wa,elipwa bilions of money wakati hawapo kazini for years! Sucked all haters
 
Back
Top Bottom