Pamba za masikio ni mbaya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pamba za masikio ni mbaya.

Discussion in 'JF Doctor' started by Sizinga, Sep 28, 2011.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Kwa kadri ya reporter wangu, kadai hizi pamba za masikio sio nzuri, kwa kadri unavyozidi kutumia, unaousukumiza kiasi flani cha uchafu katika interior part of the ear. Sasa huu uchafu ukigusa part flani ya sikio kwa ndani(kiwambo-not sure) unasababisha maumivu makali ya kichwa, hata unywe pain killer au mseto, mamumivu hayo hayaishi na huwezi hata kulala. kwa ufupi uchafu wa sikio ukizidi, unajikusanya na unatoka wenyewe auto. So the use of earstick is highly restricted!

  Habari ndo hiyo.
   
 2. samito

  samito JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mmh! mi huwa nikionaga pamba za maskion, maskio yanaanza kuwasha najikuta nimechukua naanza kuzungusha taratiibu.. kama unavyojua ukijichokonoa lazima ulegeze macho hata uwe nani.. maana kuna raha flan hivi..! sasa kumbe ni its not advisable?!!
   
 3. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sizinga uko sahihi. Mimi si daktari lakini yamemkuta mtu wangu aliyekuwa akipenda sana kuchokonoa maskio kwa hizo cotton buds. Sasa hivi ana hali ngumu, alipokwenda kwa dr alielezwa kama ulivyoeleza kwenye post yako kwamba hakuhitaji kutoa huo uchafu kwani hutoka wenyewe.

  Mbaya zaidi, sikio moja ndilo lililokuwa gonjwa lakini sasa limeambukiza lingine. Amejaribu dawa zote za hosp kwa mabingwa Nairobi nk nk lakini wapi. Mwinshowe ameamua kutafuta mafuta ya kenge baada ya kuambiwa ni dawa. TUWE WAANGALIFU NA MASKIO.

  Mwenye maelezo juu ya matumizi ya MAFUTA YA KENGE kama dawa ya masikio atujuze tafadhali.
   
 4. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  ni kweli pamba za masikio si nzuri kama una uchafu (exsesive ear wax) kuna mafuta ya maji maalum ambayo yatasafisha masikio yako. Sikio lina sehemu kuu 3 nje, kati , na ndani sikio la kati lina ngoma(ear drum) ambayo ni nyembamba sana na imeungana na vifupa vidogo sana viitwavyo ossicles ambavyo kazi yake ni kuvibrate ili ili kutrassmit sound kwenda sikio la ndani.ukitumia pamba unafanya kazi ya kuisokomeza ngoma ya sikio mwishoe ita stuk na kuwa kiziwi
   
 5. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  mara nyingi huwa zinasokomeza uchafu ndani.Nadhani ni bora kwanza mtu aweke boric acid ili ilainishe uchafu na ndipo aanze kuchokonoa.
   
 6. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #6
  Sep 28, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nilishaacha siku nyingi baada ya kupata joto ya pale magomeni kwa dr. ekenywa
   
 7. Kisima

  Kisima JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 3,768
  Likes Received: 2,228
  Trophy Points: 280
  Mh!
  Siku zote kitu chenye ncha chongofu ukikichovya/zamisha kwa kina kirefu halafu ukachokonoa kiukweli utapoteza raha ya tendo. So jfunze kuchokonoa ktk kina kfup na kwa ustadi zaidi sio kwenda NUNGWI muda wote.... Utazama!!!
   
 8. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  teh teh teh like when u're digging your nose!! hahaha.
   
 9. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Aag mkuu hapa umechakachua!!khaaaaa..
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  heee! Masikio yangu yamenusurika kweli!!
   
 11. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Vp ant Laura, ulikatwa sikio nini?tupe expirience bana!! Ila pole sana.
   
 12. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Aisee hii kali. duh
   
 13. M

  Malabata JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 256
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
 14. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Asanteni kwa Elimu! Naacha kutumia kuaznia leo
   
 15. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Thanx for good explanation, real good.
   
 16. A

  Aine JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  tunashukuru kwa elimu hiyo umetusaidia wengi barikiwa
   
 17. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
   
 18. bht

  bht JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  cotton buds ni adui wa masikio yangu kwa kweli, kila wakati nikijaribu huwa najiskia maumivu fulani hivi(sijui ni uoga ?)
   
 19. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #19
  Sep 28, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Duh! Nashukuru kwa hiyo Elimu mkuu.
   
 20. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Dah hii ya mafuta ya kenge naona mpya kabisa kwangu, ngoja tuwasikilize wataalam kwanza!! au hii ni ya karumanzila??
   
Loading...