Pamba ya Mwanza

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
pamba ya mwanza.jpg

Waliochuchumaa Hamza Mponda, Juma Amir Maftah, Rashid Abdallah, George Masatu, Hamis Nyembo, Abdallah Bori na Khalfan Ngassa.
Waliosimama Madata Lubigisa, Ibrahimu Magongo, Fumo Felician, David Mwakalebela, Rajab Risasi, Hamis Seleman, Beya Simba, Ali Bushiri, Hussein Amani Masha na Paul Rwechungura.
 
dah! enzi hizo. ingekuwa poa kabisa ukachokonoa archives uje na club za zamani ambazo haziwiki tena!
 
Back
Top Bottom