Masalu Jacob JF-Expert Member Joined Jul 26, 2017 Posts 1,446 Reaction score 1,645 Aug 18, 2019 #1 Habari za muda! Naomba kujua bei ya pamba ghafi isiyo na mbegu kwa hapa Tanzania ni Tsh. ngapi kwa Kilo? Je, kuna uwezekano wa kuisafirisha kutoka mashambani mpaka mkoa wa Dar?
Habari za muda! Naomba kujua bei ya pamba ghafi isiyo na mbegu kwa hapa Tanzania ni Tsh. ngapi kwa Kilo? Je, kuna uwezekano wa kuisafirisha kutoka mashambani mpaka mkoa wa Dar?
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,020 Reaction score 22,096 Aug 18, 2019 #2 Cheki na viwanda vya nguo mkuu ..unaweza piga simu ukafanya mawasiliano