Pamafund kuna nini kimetokea?

Pamafund kuna nini kimetokea?

I learned the hard way, I paid the cost…. NEVER AGAIN.
 
Wakuu,

Samahani kwa yeyote mwenye taarifa juu ya pamafund naomba atupatie...

Kwa maana yale matangazo tuliyokuwa tunasumbuliwa nayo WhatsAap hatuyaoni tena..
Je nini kimetokea??
Pole sana!Itoshe kusema tu pole saaanaaa!
 
HAKUNA MGODI WOWOTE WA KUCHIMBA KIDOGO UKAIBUKA NA MALI; HACHANA NA POROJO ZA VIJIWENI. PRINCIPLE BADO IKO PALE PALE; either utese mwili au utese akili.
Bro hapo ilikuwa ni nyamongo muda huo wa miaka 2007/10 wamura walikuwa wakkvamia pale mzungu alipochimba. Fuatilia history ya nyamongo miaka iyo. Wewe unajua ni porojo. So nikuambie uwongo ama ukweli utaniongezea Nini ukubali ama ukatae.take it or leave am still be where am be right now.
Ila watu bana.

Ulizia vijana wangapi waliuwa na polisi. Kweli vijana abhamura walikuwa wakivamia muda wa lunch ishu imepigwa mwamba umepasuliwa.
Mpaka mzungu akawaita intruder na huku yeye ndiye intruder.
 
Wajinga hawaishi lbda bahari ikauke

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom