Kwa kawaida wa mwanzo hupata ili kuvuta wengi.Wakuu,
Ambaye amejiunga na pama fund naomba atupe mrejesho je kina lolote limetokea????
Kwa kawaida wa mwanzo hupata ili kuvuta wengi.Wakuu,
Ambaye amejiunga na pama fund naomba atupe mrejesho je kina lolote limetokea????
Nasikia kelele tu hivyo lazima kuna mahali kimeumana!Mkuu,
Kuna nini tena??????
Afu mkuu inaonekana na wewe ni membaTayari nini mkuu??
Kama una taarifa yoyote naomba utuambie
Duu yaani wewe Soulja Japan bana Kuna English knights pia unaijua.hakuna hela za kudownload duniani...
hela inatafutwa kwa kufanya kazi kwa bidii sana, either utese mwili au utese akili...
Sasa kamari unafikiri unakula kiboya tu hiyo ni akili pia inatumika, hata betting ni lazima uwe na akili ya mpira at least utarudisha vihela vyako, NA MIMI NAKAZIA TENA UKITAKA PESA NI LAZIMA UICHOSHE AKILI AU MWILI.Duu yaani wewe Soulja Japan bana Kuna English knights pia unaijua.
Mkuu una mentality mbaya Sana sema ni due to our upbringings. That become hindrance to succeed in another endeavors.
So ukienda kidogo mgodini unachimba kidogo Mara unakutana na mavi ya mtt huwezi kuyabeba mkuu.yaani kitu zaidi ya kilo 100 na ni pure gold.
Ujue utaipoteza hiyo hela Mana umeshajiwekea kuwa lazima uumie ndipo upate hela.
Ukiipata iyo nafsi inakusuta kuwa hii hela haujaumia so sio halali yako.
Kuna watu ni matajiri na ni professional gamblers.
Sasa sijui hii akili ama mtizamo wako imekaaje ndugu.
Yaani sio kuwa ni tiketi ujitese uumie ushinde njaa ujime kula watt wazuri akila shakira wa hips Don't lie. Eti ndipo utatoboa no principle iyo mkuu.
Bado mie nakukatalia kuwa sio lazima uchoshe.Sasa kamari unafikiri unakula kiboya tu hiyo ni akili pia inatumika,hata betting ni lazima uwe na akili ya mpira at least utarudisha vihela vyako,NA MIMI NAKAZIA TENA UKITAKA PESA NI LAZIMA UICHOSHE AKILI AU MWILI.
Kwani unaweza kuizalisha pesa ya urithi bila kuiichosha akili?Bado mie nakukatalia kuwa sio lazima uchoshe.
Ishu ni namna how and where your societal upbringings. Ndo imekujeruhi akili,yaani imefanya mark on your head mkuu.
Mfano Trump hajachosha akili hela akarithi tokea za babu.
Mfano huyu kisire mwenye mabasi ya sirari kahama na katoto hajachosha akili mkuu.
Kuna eneo lao la urithi mgodi ulichukua wakapewa Kama 6.5Bn Tzs na hayo maeneo kumbuka watu walikuwa wanajishikia bure tu miaka ya huko 1300-1800.
Mpaka leo umasaini ukitaka kuishipo wanakijiji wanakukatia eneo bure unaishi.
Ishu ni perception some people sees details ,some sees big picture,some have lateral learning while others have linear
Wewe ulikuwa unasemea kuipata hela ,kuipata unazipata sema kuziendeleza kukaa kwako zidumu.Kwani unaweza kuizalisha pesa ya urithi bila kuiichosha akili?
Au kwako wew kuichosha akili kuna maana ya kutafuta mtaji tu?
Hakuna jambo linatumia akili nyingi kama kuufanya mtaji uendelee kukua na kuzaa matunda.
HAKUNA MGODI WOWOTE WA KUCHIMBA KIDOGO UKAIBUKA NA MALI; HACHANA NA POROJO ZA VIJIWENI. PRINCIPLE BADO IKO PALE PALE; either utese mwili au utese akili.Duu yaani wewe Soulja Japan bana Kuna English knights pia unaijua.
Mkuu una mentality mbaya Sana sema ni due to our upbringings. That become hindrance to succeed in another endeavors.
So ukienda kidogo mgodini unachimba kidogo Mara unakutana na mavi ya mtt huwezi kuyabeba mkuu.yaani kitu zaidi ya kilo 100 na ni pure gold.
Ujue utaipoteza hiyo hela Mana umeshajiwekea kuwa lazima uumie ndipo upate hela.
Ukiipata iyo nafsi inakusuta kuwa hii hela haujaumia so sio halali yako.
Kuna watu ni matajiri na ni professional gamblers.
Sasa sijui hii akili ama mtizamo wako imekaaje ndugu.
Yaani sio kuwa ni tiketi ujitese uumie ushinde njaa ujime kula watt wazuri akila shakira wa hips Don't lie. Eti ndipo utatoboa no principle iyo mkuu.
HAKUNA MGODI WOWOTE WA KUCHIMBA KIDOGO UKAIBUKA NA MALI; HACHANA NA POROJO ZA VIJIWENI. PRINCIPLE BADO IKO PALE PALE; either utese mwili au utese akili.

mkuu huyu ni wale wale pamafund ,kutwa kujimwambafai et dunia ipo kiganjani wanapiga hela online ,kumbe wao ni mambumbumbu ...A very rotten one!I smell a rat
Wanachuo wengi wanajihusisha na hizi hela ya kudanlodiNamwangalia binamu yangu alivyopagawa na hiyo Qnet na pamafund jamani sijui nani kamroga et na mimi ananishawishi nijiunge,sikutaka kumkatisha tamaa ila moyoni nilikuwa nasema wewe mimi nimeujua mji kabla yako alafu kitoto chenyewe kinasoma et sauti na nilchokuja kugundua ela ya accomodation yote kinamalizia huko afu kinamsumbua baba yake kulipa ada