Palmchat (java phones) v/s whatsapp(android phones)

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,425
Lengo si kushndanisha hizi apps. ila ni kuwa hii palmchat naona ni application nzuri sana kwa watumiaji wa simu hzi za kawaida zinazosapoti java.(kama tecno n.k) kwani ina features karibu zote kama vile kutuma picha,voice na chat kama vle whatsapp.nawasilisha
www.palmchatnow.com
 
nimekuwa niki2mia kwa wiki sasa.ni nzuri sana
 
Back
Top Bottom