Napenda ile bustani yenye vijani kdg maana ina leta raha hasa ukiwa umepumzika bustanini,,, karibu juice ya ubuyu baba paroko.
Angalau tusalimiane mkuu
Kwani wewe kwako hakuna bustani?
Ha,ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaa!!!!!!!!!Sasa mkuu bustani ikikatwa si itakua hakuna bustani bali ni uwanja tu!
Bustani ipunguzwe tu na kumwagiwa maji mara kwa mara!
...
Nyumba bila bustani haipendezi asee!
Wanaongelea Palizi la Bustani, kuhusu picture unaonaje ukatupia picture ya Bustani yako ili tuone ilivyopaliliwaMada inahusu nn? kwanini picha hamna?
Aisee!!! Mi mgeni jamani!!!!