tansoma
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,211
- 581
Chukii zako tuHao waarabu inatakiwa wapigwe mpk wafutike.
Chukii zako tuHao waarabu inatakiwa wapigwe mpk wafutike.
OkChukii zako tu
Adui wa nani fafanua, tukuelewePalestine nimatokeo ya Vita iyopigana kati ya 132 -135 AD ..ambapo majeshi ya ufalme Wa Rumi waliwapiga Majeshi ya Uyahudi yalokua yanaongozwa na Shimon Bar kokhba ( hawa wayaudi walianzisha mapigano hayo km sehem yakulipa kisasi kuungushwa kwa tempo ya yao ndani ya yerusalem mwaka Wa 70 AD
Kwaushind waloupata Rumi ,,nakutokana nahasira walizokua nazo,, wakaamua kutafuta namna ya kuwapoteza Wayahudi.
Na hapo ndipo wakaamua kubadili jina LA Bethlehem of Judea nakua Philistines ( neno la kilatine yaan Palestine) linalomaanisha Adui mkubwa Wa kihistoria...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] duuuhJoseverest pole nimekalia Dawati lako la jinsia
Shule yao bado wamefunga hajaja
Kumbukumbu zangu katika biblia zinaonyesha Walikuwepo Wafilisti kwanza kabla hata hajulikani ni nani Ibrahimu.
Kwa mujibu wako wafilisti ni wapalestina.OK
Mkuu vipi nikisema kiasili wapalestina ndio wenye makazi maeneo yote waisrael wanayoyagombania?
Maana ujio wa wafilisti na waisrael una muachano mkubwa.