Palestine.... Adui mkubwa wa Kihistoria

Palestine.... Adui mkubwa wa Kihistoria

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,271
Reaction score
166,412
Palestine nimatokeo ya Vita iyopigana kati ya 132 -135 AD ..ambapo majeshi ya ufalme Wa Rumi waliwapiga Majeshi ya Uyahudi yalokua yanaongozwa na Shimon Bar kokhba ( hawa wayaudi walianzisha mapigano hayo km sehem yakulipa kisasi kuungushwa kwa tempo ya yao ndani ya yerusalem mwaka Wa 70 AD

Kwaushind waloupata Rumi ,,nakutokana nahasira walizokua nazo,, wakaamua kutafuta namna ya kuwapoteza Wayahudi.

Na hapo ndipo wakaamua kubadili jina LA Bethlehem of Judea nakua Philistines ( neno la kilatine yaan Palestine) linalomaanisha Adui mkubwa Wa kihistoria...
 
After World War II, in 1947, the United Nations adopted a Partition Plan for Mandatory Palestine recommending the creation of independent Arab and Jewish states and an
internationalized Jerusalem . [18] After the establishment of a Jewish state in Eretz Israel , to be known as the State of Israel on 14 May 1948, [19][20][21] neighboring Arab armies
invaded the former British mandate on the next day and fought the Israeli forces. [22][23] Later, the All-Palestine Government was established by the Arab League on 22 September 1948 to govern the Egyptian-controlled enclave in Gaza . It was soon recognized by all Arab League members except Transjordan . Though jurisdiction of the Government was declared to cover the whole of the former Mandatory Palestine, its effective jurisdiction was limited to the Gaza Strip . [24] Israel later captured the Gaza Strip and the Sinai Peninsula from Egypt, the West Bank (including East Jerusalem) from Jordan, and the Golan Heights from Syria in June 1967 following the Six-Day War .
Following the withdrawals of Egypt from Sinai and Gaza (1982) and Jordan from the West Bank (1988), the State of Palestine proclaimed its independence on 15 November 1988 by the
Palestine Liberation Organization (PLO) in
Algiers as a government-in-exile . Since the signing of the Oslo Accords in 1993, the
Palestinian National Authority was formed the following year to govern the areas A and B in the West Bank and Gaza Strip. Gaza would later
be ruled by Hamas in 2007 after Israel withdrawal from Gaza two years prior .
The State of Palestine is recognized by 136 UN members and since 2012 has a status of a non-member observer state in the United Nations – which amounts to a de facto, or implicit, recognition of statehood. [25][26][27] It is a member of the Arab League, Organisation of Islamic Cooperation , G77 , and the International Olympic Committee .
 
Palestine nimatokeo ya Vita iyopigana kati ya 132 -135 AD ..ambapo majeshi ya ufalme Wa Rumi waliwapiga Majeshi ya Uyahudi yalokua yanaongozwa na Shimon Bar kokhba ( hawa wayaudi walianzisha mapigano hayo km sehem yakulipa kisasi kuungushwa kwa tempo ya yao ndani ya yerusalem mwaka Wa 70 AD
Kwaushind waloupata Rumi ,,nakutokana nahasira walizokua nazo,, wakaamua kutafuta namna ya kuwapoteza Wayahudi ... Na hapo ndipo wakaamua kubadili jina LA Bethlehem of Judea nakua Philistines ( neno la kilatine yaan Palestine) linalomaanisha Adui mkubwa Wa kihistoria...
Hata tukiandika sana Historia Wapalestina na Wayahudi wote ni watu wa aina moja tatizo dini na siasa za kidunia ndo zimewatenganisha na kuwafanya maadui
 
Hivi vichwa maji vinashangaza sana.

Kati ya wakristo waliopo Israel jamii ya kipalestina na Israel ipo.

Kati ya waislamu waliopo Israel jamii ya kipalestina na Israel ipo.

Sipati picha na jamii ya kitanzania ingekuwepo.
 
Hata tukiandika sana Historia Wapalestina na Wayahudi wote ni watu wa aina moja tatizo dini na siasa za kidunia ndo zimewatenganisha na kuwafanya maadui
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Hata tukiandika sana Historia Wapalestina na Wayahudi wote ni watu wa aina moja tatizo dini na siasa za kidunia ndo zimewatenganisha na kuwafanya maadui
Sio watu wa aina moja ni watu tofauti kabisa.Hakuna katika historia watu wanaoitwa wapalestina.Wapalestina ni Wafilisti .Wafilisti na wayahudi ni watu wawili tofauti. Kiongozi wa wafilisti mmjawapo alikuwa anaitwa Goliathi wakati kwa wayahudi alikuwa Mfalme Daudi.Wapalestina ni Wafilisti
 
Duniani mpaka sasa kuna watu zaidi ya 7 Billion huku watu wanaoamini mafunzo hayo unayayatoa ni watu zaidi ya 3.6 Billion yani wanaoamini Abrahamic religions huku Christianity ni 33% ,Islam ni 21% na Judaism 0.2% sasa unapozungumzia swala kama hili na ukaleta habari za vitabu vya dini ambavyo wanaoviamini ni 3.6 out of 7 Billion utakuwa hutendi haki kwa wengine waliobaki ndio maana kukawepo sheria ambayo wote tunahusika katika kutungwa kwake kupitia wawakilishi wetu Bungeni au sehemu yeyote ya kutunga sheria Duniani swala la hapa je Ukiondoka sehemu kwa zaidi ya miaka 3000 ukirudi ile sehemu je itaendelea kuwa yako kisheria?
 
Kumbukumbu zangu katika biblia zinaonyesha Walikuwepo Wafilisti kwanza kabla hata hajulikani ni nani Ibrahimu.

Kwa mujibu wako wafilisti ni wapalestina.OK

Mkuu vipi nikisema kiasili wapalestina ndio wenye makazi maeneo yote waisrael wanayoyagombania?

Maana ujio wa wafilisti na waisrael una muachano mkubwa.
 
Mkuu kisheria neno SEHEMU NA NCHI ni maneno sawa????????mimi sijui ndo maana nauliza tu ili kuleta afya kwenye mjadala
 
Kumbukumbu zangu katika biblia zinaonyesha Walikuwepo Wafilisti kwanza kabla hata hajulikani ni nani Ibrahimu.

Kwa mujibu wako wafilisti ni wapalestina.OK

Mkuu vipi nikisema kiasili wapalestina ndio wenye makazi maeneo yote waisrael wanayoyagombania?

Maana ujio wa wafilisti na waisrael una muachano mkubwa.
Waasili wa hiyo sehemu ni wa-Kaanani watoto wa HAM....ndio makazi yao yalikuwa hapo...ndio then wakaja hao wajukuu wa Abraham(mjukuu wa Shem) kuwatoa wakaanani then na wao wakatolewa na Warumi! Then ndio warumi wakawaweka hao wapalestina then Wazungu wakaja nao wakaweka hao Wazayuni aka Ashkenazi jews ili Wajukuu wa abraham Original wasije kurudi hapo maana wana Nguvu hawataki wajikusanye tena. Na ndio maana wanatumia nguvu kubwa sana kuwabakisha hapo na propaganda kuwa ndio wajukuu wa Abraham wakati sio.
So kama kurudisha wawarudishie WAKAANANI ambao wengi walikimbilia Africa aka Sisi
 
Back
Top Bottom