Binafsi mama yangu ukiongozana naye matembezini kama una haraka utajuta. Ni lazima apate maneno mawili matatu kwa kila mmama anayekutana naye.
Mimi dada yangu tukitoka pamoja tunarudi tofauti kila mtu kanunaBinafsi mama yangu ukiongozana naye matembezini kama una haraka utajuta. Ni lazima apate maneno mawili matatu kwa kila mmama anayekutana naye.
Ndo uanamke huoBinafsi mama yangu ukiongozana naye matembezini kama una haraka utajuta. Ni lazima apate maneno mawili matatu kwa kila mmama anayekutana naye.
Jane wangu wala hayupo hivyo![emoji28][emoji28][emoji28]Ndo uanamke huo
Tena Jane wako ndo kazidi mm[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jane wangu wala hayupo hivyo![emoji28][emoji28][emoji28]
Siku hizi umeacha kunywa mbege??[emoji53][emoji53][emoji53]Tena Jane wako ndo kazidi mm[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaah mm ndo mpishi ntaachaje kuwachinjia shingoSiku hizi umeacha kunywa mbege??[emoji53][emoji53][emoji53]
Mimi dada yangu tukitoka pamoja tunarudi tofauti kila mtu kanuna
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hahahahaah mm ndo mpishi ntaachaje kuwachinjia shingo
Acha tu Mbiti yaani sehemu ya kwenda dk 20 mtatembea masaa mawiliahhahahahahahahahahahah dah !hatar tupu kama nawaona
Wasalimie[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Acha tu Mbiti yaani sehemu ya kwenda dk 20 mtatembea masaa mawili
Yaani ni shidaaahahhahahaha dada anasimama kila mara lol