Pale ungo unapofeli..

Petroli iliisha jamani naona hata gesi nayo iliisha hahhahaha kudadeki!
 
Ningependa angeangikia kwangu huyu bibi siiti MTU tunamalizana namuachia aende zake
 
kumbe hizo cheni kiunoni zinavaliwa na wanga...
 
Huyu mama anafanana na mama yakr na mwanachama mwenzetu mwandamizi Wa Jf...anaishi huko Kigamboni
 
Hawa watu wanasingiziwa.

Ukichunguza vizuri haya matukio unakuta watu wanaotuhumiwa ni wagonjwa waakili. Inasikitisha watu wamefungwa na uelewa mdogo wa mambo wanawaza ushirikina tu.

Huyo bibi anaonekana na yeye anashangaa. Mgonjwa huyo....anafanya hayo watu wanadhani mchawi/mlozi au vyovyote watakavyomwita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…