Pale unapomuacha Baba na mtoto

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo sawa na kaka na mdogo
 
Halafu hao watoto wenyewe wanachekelea tu
 
katika picha zoote watoto wako happy hatari vile baba analea kwa ubunifu
 
Wanaume huwa hawapendi usumbufu wa watoto, they cant tolerate it. Wanajifanyaga tu watoto raha, ila kuwalea wanaogopa.
 
Wanaume huwa hawapendi usumbufu wa watoto, they cant tolerate it. Wanajifanyaga tu watoto raha, ila kuwalea wanaogopa.
Mi napenda mno watoto.Ila kusumbuana mida ya Movie au football hiyo siruhusu hata kidogo
 
Watoto wana raha jamani wakiondoka kidogo unahisi tofauti
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimezipenda sana hizo picha zinanikumbusha wife ananiachia mtot weekend yeye anafika sokoni chaap

Dogo namshindilia uji mpaka ana kala ili niingie JF
 
Hahaaa Daah nimecheka sana jinsi huyo jamaa alivyo fanya ubunifu wa kujibandika box la maziwa kifuani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…