Pale unapodhani upo salama salimini

Yaani hapo akigeuka tu atakuwa mpole hatakumbuka chochote zaidi ya Mwenyezi Mungu kwa sababu nje hakuendeki ndani nako hakukaliki.
 
Mama weeeee!Ninavyoogopa chui naona ningezimia hapohapo!
 
Nikigeuka tu cha kwanza ni kuzimia hakuna namna nyingine
 
Mama weeeee!Ninavyoogopa chui naona ningezimia hapohapo!

Ni duma huyo nifah hana mtiti kama chui, unaweza kumsepesha bila kuleteana madhara.
 
Last edited by a moderator:
Huo mshtuko ningemkata Kofi la woga angetabasamu mwenyewe
 
Mama weeeee!Ninavyoogopa chui naona ningezimia hapohapo!

nifah ... Huyo sio Chui ... ni Cheetah ... hana matatizo na binadamu! - ukikutana nae porini wala hakudhuru! .. ila chui ni habari nyingine!

​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…