Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,080
- 27,507
JangaLa Taifa umeeleweka mkuu
MorningHaya
Mchana huu bebeMorning
Uwiiiiiiii asante kwa kunikumbushaMchana huu bebe
Tutakuja baadaye tunasubiri break time ya mchana / lunch time.... [emoji4] [emoji23] [emoji119]Ngoja waje
Wapi?Tumefika
Inaonyesha umeumia sana Ila unajikazaJana tu nimetoka kublock mtu, sipendagi ujinga na hainiumizi coz sio mke wangu
Hapa tulipofika Mimi na wewe[emoji23]Wapi?
hahaaaaSawa ila hii nahisi ilikua zaman uko ambako wanaume walikua bado wanaume ,wanawake walikua mabikra na mapenzi yalikua mapenzi.
Saizi unamtongoza mwanamke kwa lengo la kuchapa alafu uamshe ,,, namwenzako kumbe anawaza kukupiga makombora tu.
Kwaiyo ngoma drooo!!
hahaaa ...sio wewe tu hata mimi "" ukizingua unachezea tofali tuJana tu nimetoka kublock mtu, sipendagi ujinga na hainiumizi coz sio mke wangu