Pale umesikiasikia eti minimum qualification ni kujua kusoma na kuandika

Majungu yatawafanya mshindwe kufanya mambo yenu na badala yake mkazie kuangalia mambo ya wenzenu.

Aliyepata kapata na ww tafuta namna ya kupata.

Na makonda sio level yenu ile ni system tangu kitambo.
Maisha au historia ya system sio raihisi ww kuijua.
Endeleen kukomalia ya makonda kama yatawapa mafanikio
 
  • Thanks
Reactions: THT
Back
Top Bottom