Samweli Mathayo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 1,577
- 1,700
January makamba bado sana, ntakwambia, hebu waangalie hao wawiliTumeshaona.....Mzee Mwinyi ameshaanza kumsifia JPM ana maana yake....kama sio bara basi Shein muda wake umeisha na yule Balozi mdomo umeshaelekea baja....hana lake saa hii awaachie wenzake!! Hussein akienda Zbar....Bara usishangae lolote laweza tokea....!!! Aliandaliw JM sijui takuwaje!!
SanaNoma
umemuacha kassim MajaliwaIjulikane kuwa haya ni mawazo yangu niliyopata toka kwa wadau mbali mbali hivyo si lazima uyakubali waweza yakataa tukashindana kwa hoja,
WATAKAO CHUKUA FORM ZA KUOMBA UTEUZI
Hawatakuwa wengi mno
1. Hamisi kigwangala
2. Nape nnauye
3. Mwigulu Nchemba
4. Hussein Mwinyi
5. January makamba
6. Samia suluhu
7. Tulia ackson
8. Makongoro Nyerere
9. Emanuel Nchimbi
10.Suleiman jaffo
11.Diodorus Kamala
12. Sospeter muhongo
13. Steve masato wassira,
14. Bernard membe
15. Harrison mwakyembe
16. Mmoja wa darasa la Saba toka kigoma,
17. Mathias Chikawe,
18. Hussein Bashe,
19. Makame mbarawa,
Kamati kuu itakaa Na kupitisha yafuatayo
KUMI BORA ROUND YA KWANZA
1. Hamisi kigwangala
2. Mwigulu Nchemba
3. Hussein Mwinyi
4. January makamba
5. Tulia ackson
6. Makongoro Nyerere
7.Suleiman jaffo
8.Diodorus Kamala
9. Bernard membe
10. Harrison mwakyembe
HAITAPIGWA KURA ILA WATAANZA KUKATA SASA,ILI MAJINA YAENDE KAMATI KUU( KUMBUKA MBOWE ANASUBIRI ATAKAYEKATWA -MEMBE)
AWAMU HII INAUMIZAGA WATU KUKATA
Kamati kuu itakaa Na kupitisha yafuatayo
TANO BORA
1. Mwigulu Nchemba
2. Hussein Mwinyi
3. Akson tulia
4.Suleiman jaffo
5.Diodorus kamala
MWENEZI WA CCM ANATOKA NA KUSEMA WALIOPITISHWA NI HAO HAPO JUU, TUNAENDA KUPIGA KURA SASA
Wanachama wa almashauri kuu wanapiga kura,
Hussein Mwinyi 768
Mwingulu nchemba 710
Ackson tulia 308
Suleiman jaffo 163
Diodorus Kamala 136
Hivyo watatu wajuu wanapigiwa kura
Na kura zinahesabiwa USIKU kucha wakati Ni chache sana,
TETESI ZA KUIMARISHWA ULINZI KWA MMOJA ANAYEDHANIWA ZINAANZA,
MKUU ANATOA MAELEZO YA KULINDA NYUMBA NA FAMILIA YA ANAYEPITA,
1. Hussein mwinyi 1800+
2. Ackson tulia 600
3. Mwigulu Nchemba 320
MGOMBEA WA CCM 2025-2030 NI HUSSEIN MWINYI
Huku GWAJIMA ANAANZA KUISAKA NAMBA YA MEMBE,
UKU LOWASSA ANATIMKIA ACT,
jaman ni utabiri wangu tu
LAKIN MKAE MKIJUA CCM wanakuwa wanamjua nan Anagombea nyingine mbwembwe tu,
Samuel
Majaliwa hayupo Ila nadhan atakaye chukua form nimemsahau makonda piaumemuacha kassim Majaliwa
umemuacha kassim Majaliwa
Ijulikane kuwa haya ni mawazo yangu niliyopata toka kwa wadau mbali mbali hivyo si lazima uyakubali waweza yakataa tukashindana kwa hoja,
WATAKAO CHUKUA FORM ZA KUOMBA UTEUZI
Hawatakuwa wengi mno
1. Hamisi kigwangala
2. Nape nnauye
3. Mwigulu Nchemba
4. Hussein Mwinyi
5. January makamba
6. Samia suluhu
7. Tulia ackson
8. Makongoro Nyerere
9. Emanuel Nchimbi
10.Suleiman jaffo
11.Diodorus Kamala
12. Sospeter muhongo
13. Steve masato wassira,
14. Bernard membe
15. Harrison mwakyembe
16. Mmoja wa darasa la Saba toka kigoma,
17. Mathias Chikawe,
18. Hussein Bashe,
19. Makame mbarawa,
Kamati kuu itakaa Na kupitisha yafuatayo
KUMI BORA ROUND YA KWANZA
1. Hamisi kigwangala
2. Mwigulu Nchemba
3. Hussein Mwinyi
4. January makamba
5. Tulia ackson
6. Makongoro Nyerere
7.Suleiman jaffo
8.Diodorus Kamala
9. Bernard membe
10. Harrison mwakyembe
HAITAPIGWA KURA ILA WATAANZA KUKATA SASA,ILI MAJINA YAENDE KAMATI KUU( KUMBUKA MBOWE ANASUBIRI ATAKAYEKATWA -MEMBE)
AWAMU HII INAUMIZAGA WATU KUKATA
Kamati kuu itakaa Na kupitisha yafuatayo
TANO BORA
1. Mwigulu Nchemba
2. Hussein Mwinyi
3. Akson tulia
4.Suleiman jaffo
5.Diodorus kamala
MWENEZI WA CCM ANATOKA NA KUSEMA WALIOPITISHWA NI HAO HAPO JUU, TUNAENDA KUPIGA KURA SASA
Wanachama wa almashauri kuu wanapiga kura,
Hussein Mwinyi 768
Mwingulu nchemba 710
Ackson tulia 308
Suleiman jaffo 163
Diodorus Kamala 136
Hivyo watatu wajuu wanapigiwa kura
Na kura zinahesabiwa USIKU kucha wakati Ni chache sana,
TETESI ZA KUIMARISHWA ULINZI KWA MMOJA ANAYEDHANIWA ZINAANZA,
MKUU ANATOA MAELEZO YA KULINDA NYUMBA NA FAMILIA YA ANAYEPITA,
1. Hussein mwinyi 1800+
2. Ackson tulia 600
3. Mwigulu Nchemba 320
MGOMBEA WA CCM 2025-2030 NI HUSSEIN MWINYI
Huku GWAJIMA ANAANZA KUISAKA NAMBA YA MEMBE,
UKU LOWASSA ANATIMKIA ACT,
jaman ni utabiri wangu tu
LAKIN MKAE MKIJUA CCM wanakuwa wanamjua nan Anagombea nyingine mbwembwe tu,
Samuel
Hehehe
LOWASSA anaenda ACTHiyo List ya wagombea wa CCM umemsahau Lowassa, akikatwa chadema anarudi CCM
Makonda hapanaKolomije boy vipi?
January makamba bado sana, ntakwambia, hebu waangalie hao wawili
1. Hekima
2. Kashfa
3. Weledi
4. Access ya ikulu
5. Maono
Naona Mwinyi anafaa sana
Makonda waziri mkuu.Mwenywe nimemshangaa hakumtaja Majaliwa wakati ndo next president ....