Daaaah imenikumbusha mbaaali sana hii- kuna kipindi nilikuwa namdinya mdada mmoja hivi ,sasa ile tupo ndani mara katokea jamaa kagonga mlango kwa fujo sana pale ( nanihiii fungua mlango!) tukionyeshe kazi hicho kinjemba chako, unanikataa mimi kumbe una mwanaume wako sio!!. Basi yule chuda akaainuka akaufungua mlango na kuufunga kwa nje, aiseee aliwashushia kipigo wale masharobaro( walikuja 2) kipigo cha mbwa mwizi. Wakatokomea, karudi zake ndani kudinyana kukaendelea