Pale mkorogo unapodunda...

Inasikitisha sana...
Hapo ngozi yake ipi uchi kabisa...
Ukim-scratch kupona majaliwa...

Cc: mahondaw
 
Mbona kapendeza acha wivu basi mkuuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Duuh...wamama wa kiswahili ndo zao hizi
 
Duuuuuhhh Mu Afrika bana ,, yeye kuna baadhi yasehem tu ndo anataka awe mweupe !!.
 
Huyu bibi atakuwa alijichanganya wakati wa ujana sasa bado anapambana aambulie hata ya fungu la dagaa
 
Anakula nini kwanza, tuanzie hapo ili tujue uwezo wake wa kufikiri.
 
Wazungu wanatucheki halafu wanasema hiiiiii!
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…