Pale kinyozi anapokuwa na PHD.

ha ha mkuu Janjaweed isije ikawa umepiga cha AR kinakufanya uone makengeza
 
Angalia jinsi alivyonyoa vizuri mkuu kiwango si cha kawaida ni cha PHD

Sidhani kama PHD ni kiwango cha elimu kinachoweza kufananishwa na uchongaji huu wa nyele. Tuseme tu pale kinyozi anapokua ameenda shule ( maana kajifunza kazi yake na hakukurupuka tu saluni).
 
Saa nyingine si kila kinachofananishwa lazima kiwe sawa, mleta uzi alitaka kuelezea ubora tu wa kinyozi na si kumaanisha kwamba kinyozi alisomea PHD its just a figurative speech.
 
Sidhani kama PHD ni kiwango cha elimu kinachoweza kufananishwa na uchongaji huu wa nyele. Tuseme tu pale kinyozi anapokua ameenda shule ( maana kajifunza kazi yake na hakukurupuka tu saluni).

Tatizo unachukulia kila kitu serious. Sijaona kibaya hapo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…