Pale introvert anapooa mke extrovert

Hivi unajua introvert katika kundi la anaofahamiana nao huwa zaidi ya extrovert.
kiufupi mkizoeana inakuwa smart relationship, na mnakuwa talkative sana
Kweli, huwa tunawachangamsha sana....na vile introvert huwa wanajua vitu vingi, extrovert huwa tunawachallenge kwa maswali na ubishi....uhusiano unakuwa alive.

Ila extrovert Kwa extrovert ndio ina mnogo, manake mnabishana, mnagombana....mkimaliza mnaanza kuteta ndugu na majirani....Raha sana.
 
Hahahaha
 
Mkila zile Eid mbili za mwaka mkiwa pamoja basi mmejitahidi sana.
 
perfect combo and well balanced.

moto hauzimwi kwa moto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…