Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,937
- 51,056
Mbabe wa Kivita Prof. Lipumba kafanikiwa kwa asilimia zaidi ya 75%.
Ile over reaction ya kina Seif ilionesha kabisa wame loose control.
Mara Mtatiro, Mara kina Mbowe, Mara baraza la wadhamini, Mara Team facebook Mara team Wanawake lakin Prof kala Buyu tu anachapa kazi!
Per Diem...!!lipumba yuko kwenye kazi maalum na hapo analipwa kwa siku
Ikumbuke hii post yakoMbabe wa Kivita Prof. Lipumba kafanikiwa kwa asilimia zaidi ya 75%.
Ile over reaction ya kina Seif ilionesha kabisa wame loose control.
Mara Mtatiro, Mara kina Mbowe, Mara baraza la wadhamini, Mara Team facebook Mara team Wanawake lakin Prof kala Buyu tu anachapa kazi!
Dah! Kafanikiwa kwenye nini wewe!? Kafanikiwa kwenye kufanya uhuni na ujambazi huku akikingiwa kifua na polisiccm. Acha kukurupuka na kuandika pumba. Kuna sheria za vyama vya siasa na vyama hivyo vina katiba zao ambazo msajili wa vyama ni lazima aziheshimu. Msajili wa vyama vya siasa nchini angekuwa anafanya kazi zake kwa kufuata taratibu za kazi zake badala ya kushinikizwa na dikteta uchwara huyo mamluki na msaliti wa vyama vya upinzani angekuwa ameshaamrishwa kuondoka katika ofisi za CUF siku nyingi kama si kuondolewa kwa nguvu. Acha kukurupuka na kuandika PUMBA.
Asante! Nilitaka kumuenzi mkuu wa kayaPer Diem...!!