Pale boss anapomnyima dereva wake mshahara

Tusiwanyayase madereva mtu anakupelekea watoto shuleni na kuwarudisha ukiumwa hata sa 8 usiku anakuja kukusaidia we unam nyanyasa
 
Nashindwa kujua yy alilipakije hapo... na kama yeye kaweza kulipaki kwan wengine watashindwaje?
 
Siyo kila kitu fulani kaweza mimi nishindwe nina nini mambo mengine ni majaliwa na kipaji kutoka kwa mwenyezi Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…