Pale bodi ya mikopo wanapokata 15% zao na una matatizo balaa!

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
7,171
15,740
1cd98031337cb5dcf3d6866d3a788c04.jpg

Utajuta
 
Huwezi kwenda ATM kama account haina kitu.
Sio haina kitu mkuu,unajua mshahara umeingia ila ukifika kutoa pesa huangalii salio ukihofia kujitia nuksi sasa chombo kinaposoma “salio lako halitoshi" hapo lazima udondoshe dua.
 
Back
Top Bottom