Pale Black anapochoka na dhuruma za Police wa Ulaya!

Powder

JF-Expert Member
Jan 6, 2016
4,801
6,297
Nakuamua kuwachapa Ngumi askari wawili kwa mpigo.
wp_ss_20160709_0002.png
wp_ss_20160709_0003.png
wp_ss_20160709_0004.png
 
Hata huko USA baby wanawarestisha in peace, Leo tena mmoja wammemshoot.
US baby kamwe usijaribu kuzipiga kavukavu na polisi. Police wenyewe waoga balaa na wengi wao wako obese. Tegemeo lao pekee ni bunduki. Wakirusha taser yao ukawa bado ngangari halafu umefura unawasogelea tayari their lives are in danger na wako justified kukumiminia risasi...

Polisi wa Uingereza hawa hata kubeba bunduki hawaruhusiwi eti virungu na vi batton tu. Matokeo yake ndo haya sasa
 
Hao sio wa uingereza labda nchi nyingine ya Europe.. Uingereza nimeishi polisi hawavai hivyo kabisa!!
 
Back
Top Bottom