Kiherehere chote kimemuishia anachungulia nje kuona kama van damme kaondoka au anamsubiri nje kipigo kiendelee ha ha haaaDuh,kipigo kitakatifu.Iwe fundisho kwa maaskari wengine wenye tabia kama hizo
Ningeshangaa sana kama hilo tukio lingekuwa limetokea Tz. Maana Tz haruna askari wapuuzi kama huyo mgambo.Imezoeleka kuwa na ile hali ya maaskari kuonea wananchi hasa kutokana na wadhifa walionao katika jamii, tumeona migambo mara nyingi wakiwakorofisha wafanyabiashara wadogo wadogo bila sababu za msingi ikiwa mara nyingi ni ubabe tu..Hebu naombeni tujione pindi inapotokea hali kuwa tofauti inaweza kuwa vipi!