Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 69,870
- 183,907
Imezoeleka kuwa na ile hali ya maaskari kuonea wananchi hasa kutokana na wadhifa walionao katika jamii, tumeona migambo mara nyingi wakiwakorofisha wafanyabiashara wadogo wadogo bila sababu za msingi ikiwa mara nyingi ni ubabe tu..Hebu naombeni tujione pindi inapotokea hali kuwa tofauti inaweza kuwa vipi!