Pale askari anapochezea mfuwenii

Kwakweli jamaa hakumpa nafasi. Kamtandika haswa!
nimecheka mno jamaa alivyomchangamshia damu na blows za fasta fasta, mbaya zaidi askari hakuweza kuleta ngebe tena baada ya kuinuka akaanza kujipangusa mdomo hana hamuu kabisaaa
 
Kilicho nchekesha nkwamba jamaa katafuta nguo huko dukani akaanza kufuta machozi
 
Imezoeleka kuwa na ile hali ya maaskari kuonea wananchi hasa kutokana na wadhifa walionao katika jamii, tumeona migambo mara nyingi wakiwakorofisha wafanyabiashara wadogo wadogo bila sababu za msingi ikiwa mara nyingi ni ubabe tu..Hebu naombeni tujione pindi inapotokea hali kuwa tofauti inaweza kuwa vipi!

Huyo security guard
 
Kaka naomba link niipakue
 
Hahaha,aisee duuuhhh noma kweli.
Tena jamaa alikuwa muungwana saana.
Hiyo ndio inatakaiwa yaani humpi hata muda wa kujitetea
Ha ha haaa askari alikua anaomba atokee mtu awaamulie ila kila mtu yuko bize anacheck pambano, mcheck baada ya kipigo anavyoskilizia kwa ndani, sasa sijui boss mwenye duka atamuacha kibaruani kweli kama anadundwa hivi atalinda nini sasa
 
Sioni sababu ya kumpiga ngumi nyingi hivi. Unamlega moja ya taya, anaenda chini, unakanyaga mfupa wa bega unavunja, unakanyaga mkono kwa miguu miwili unauvunja kwa mikono kama mua. Adamu mwanzo mwisho na kazi anaacha.
 
Huyo aliegawa kichapo alimtamu vizuri sana.

Ndani ya sekunde 10 amepokea kichapo cha haja.
 
Huyo aliegawa kichapo alimtamu vizuri sana.

Ndani ya sekunde 10 amepokea kichapo cha haja.
Hahahahah yani askari amekatwa wenge vibaya mno haamnini kilichotokea mpaka anavoinuka anastaajabu mfuwenii wa mwendokasi
 
Ha ha haaa askari alikua anaomba atokee mtu awaamulie ila kila mtu yuko bize anacheck pambano, mcheck baada ya kipigo anavyoskilizia kwa ndani, sasa sijui boss mwenye duka atamuacha kibaruani kweli kama anadundwa hivi atalinda nini sasa
hahahahahahhaahah, hii ni noma yani watu ndio kwanza wanataka kuona ubabe wake unaishia wapi maana inaonesha ana tabia ya kupenda mikwara sana akiwa lindoni!
 
Back
Top Bottom