Yaonekana mshkaji huwa hamuamini sana mpenziwe na hapo hajiamini anaona kama anataka kuporwa na wazengeaji wapiga kope za mbali,so dem akaona isiwe tabu mtoko ukaharibika acha amuonyeshe Mr wivu kuwa yuko naye na ni yeye mwenyewe apendwae.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.