Pakistan to Suspend Cellphone Service for Friday!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pakistan to Suspend Cellphone Service for Friday!!

Discussion in 'International Forum' started by Mwanamageuko, Sep 20, 2012.

 1. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  It's a strategy to avoid terror [attacks] on Friday,” said an official. Cellular services are likely to be suspended for some time in Karachi, some...!!

  Source: Fears Terrorist Attacks Friday Rallies

  Wanachoogopa ni Terrorist Attacks au taarifa kusambaa kwamba zinatumika risasi za moto kusambaza waandamanaji? (usisahau.. bado skype, fb na kina yahoo wako online!!) hawa na sisi naona hatuna tofauti WANAWAZIBA WATU MIDOMO!! SI WALISEMA KUNA UHURU WA KUONGEA!

  risasi za moto zinatumika!
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  sinauhakika juu ya ukweli wa views zako, but, ki intelijensia inaonesha kuwa suicide bombers wengi hutumia electeonic mombs zinazokuwa detonated na kitu kinachofanan na cellphone. Sasa kwa kuwa on friday kunakuwa na mikusanyiko mikubwa huko pakistani na mabomu mengi ya suicide hulipuliwa, ndo maana wanachukua tahadhari ili kupunguza casualities.
   
 3. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mkuu, hapo kwenye rangi sijakupata vizuri!
   
 4. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  zaidi ya watu 14 wameuawa ijumaa! na hakuna mlipuko wowote uliotokea! Waheshimiwa taarifa zao za kiintelijensia huwaambia watu wanakusanyana kwa simu.. ndio maana nikahoji juu ya zi-internet nazo wangeziziba mdomo!

  Kwa kweli wakoloni wanatupeleka vibaya, na hivi karibuni WALIOJILIPUA na WENZAO WALIOENDA KWA GREEN CARD! WATAANZA KUTUMIKA ILI KUMLIPA BWANA WAO FADHILA, KAMA WALIDHANI WAZUNGU WANA MAPENZI NAO, NDIPO WATAKAPOUJUA UTUMWA MAMBOLEO NI KITU GANI!!?
   
Loading...