Paka mdadisi

Hiyo picha ya kwanza ni halali maana samaki na paka ni nouma...
 
Hiyo ya pili na zilizo fuata alilewa harufu ya kiatu ha ah ha
 
mnh mvaaji wa hicho kiatu asipite karibu yako mana unaweza zimia
 
duu! harufu ya kiatu cha jamaa, nyau akadhani kuna panya kafia ndani yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…