Pajero Jr inatafutwa

Pajero Jr inatafutwa

bishoke

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2010
Posts
274
Reaction score
52
Wana JF ninatafuta gari aina ya Pajero Jr (1.1 cc) kwa haraka. Tafadhali kama unalo au unazo taarifa muhimu kuhusu wapi naweza pata hili gari hasa Dar tafadhali nijulishe. Asante
 
kuna Pajero io 1999..cc 1.8 imeingia 2011 November if ur interested na hii ni PM
 
Back
Top Bottom