Paja la kuku

Honey kumbe na wewe ni hivo? mimi ni opposite kidogo. Nilipokua mdogo mama alikua anatupa paja mimi na mdogo wangu wa kike. then alipo zaliwa mdogo wangu tena wa kiume (we are a big family) nikashangaa siku moja mama anawapa wenyewe mapaja. Nilipo uliza nikaambiwa paja ni ya watoto. Basi since then sipendi mapaja, hata nikienda restaurant na watoto alafu nipewe tight, nakula the upper part alafu lile paja lenyewe nawapa watoto. lol
 
yeah ni tatizo, mazingira na maisha uluyoishi huko nyuma yamejengeka akilini mwako, ila ukiamua kusahau na kubadilisha inawezekana

its too late siwezi tena,lakini naenjoy na parts nyingine tu
 

ukinigusia hapo kwenye paja naanza kukusuport.Ni vyema wazazi wajifunze malezi sio kuzaa tu
 

hee,wewe mpenzi wa familia A Kama lizzy wazazi wenu walikuwa wameelimika eh,.
 

Ni athari ya kisaikolojia tu...ukijitahidi kuanza kula utazoea tu!!!
 
naliogopa kweli siwezi tena!nishaathirika mind yangu

Kwani wewe unatamani kula paja la kuku?
Kama unatamani anza kidogo kidogo...
Ila kama unaona vipi achana nayo maana hakuna ulazima sana kiafya
 
Mi nina shida moja..
Chakula chenye nyama,sitakula ile nyama hadi mwisho kabisa. Nikitafuna nyama,ujue nimeshindwa kumalizia hicho chakula..
 
Kwani wewe unatamani kula paja la kuku?
Kama unatamani anza kidogo kidogo...
Ila kama unaona vipi achana nayo maana hakuna ulazima sana kiafya

tatizo ni kuwa najiona kama namiss kitu vile
 
Utamaduni mbaya sana huo. . .
Eti baba kwanza, watoto mwisho. . . Baba wali watoto ugali, baba mayai na maziwa watoto kiporo. Wakati watoto wanahitaji virutubisho zaidi ya baba.
lizzy na wewe umepitia huko nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…