Post nyingine zinasababisha jamii forums ionekane kama kijiwe cha kujadili majungu na umbea.
Mfano ni hii thread iko very personal na haina maslahi kwa mtu mojamoja wa kwa taifa kwa ujumla

Thread ipo ki-ngono ngono zaidi. Lait angekuwa dada ako au ndugu yako ungethubutu kuileta hapa!?? Anyway sio nia yangu kumsema vibaya mwenye thread ila anatakiwa ajifunze na aone jinsi wana JF wasivyozipenda post za aina hii.